Makubwa!
Lile kalio la haja la muuza nyago maarufu kwenye video za wasanii wa
Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ limesababisha ajali kati ya
bodaboda na Bajaj maeneo ya Sinza-Mori baada ya mrembo huyo kushuka
kwenye gari akielekea saluni.
Shuhuda wa tukio hilo
alisema kuwa bodaboda ilikuwa ikitokea upande wa Baa ya Meeda na Bajaj
ilikuwa ikitokea upande mwingine ambapo muendesha bodaboda alitumia muda
mwingi akimtazama Masogange aliyekuwa akikatiza huku akilitingisha
wowowo ndipo jamaa huyo akasababisha ajali.“Yaani aliposhuka
Masogange tu kwenye gari yule mwendesha bodaboda hakuwa anaangalia mbele
kabisa wakati Bajaj ilikuwa ikija kwa kasi hivyo akashindwa kuikwepa
akaivaa na kumrusha dereva wa bodaboda upande mwingine kwa kishindo,”
alisema shuhuda.
No comments:
Post a Comment