Barcelona
Star Neyamr ambae hivi karibuni amepigwa panga la kukosa mechi nne
kwenye Copa America baada ya kitendo cha utovu wa nidhamu alichofanya
kwenye mechi.Licha
ya kuwa nje ya uwanja lakini bado anaendelea kuwa supporter mkubwa wa
timu yake kwa kukaa jukwaani akishangilia timu yake.Sasa baada ya
kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kujutia kitendo alichokifanya
lakini bado ametumia muda mrefu kuandika kwenye ukurasa wake wa
Instagram kwa lugh ya kireno jinsi gani anazidi kujutia nafasi
aliyoichezea ya kulitumikia taifa lake kwenye soccer.
Haya ndio maneno yenyewe yaliyotafsiriwa kutoka lugha ya kireno,
“I waited with great faith and hope in the hope of still being able to serve the Brazilian national team in this Copa America.
Unfortunately it will not be possible.
I
know that my presence in the group is important, as well as of each of
the other players, more than ever, they must completely turn their
thoughts to the upcoming matches ahead.
I
was given the duty of being one of the group leaders and as captain
take responsibility for bringing glory and making decisions, whether
wrong or right. And this was a moment of decision.
Regardless
of where I’ll be from now on, I’ll always follow Brazil, rooting for
the success of my teammates, but staying here training is killing me
inside… With no joy. It’s awful to train without preparing for something
and this could lead to an accidental injury which would make it even
more difficult.
I
needed to express this feeling to the group and the coaching staff who
have always supported me. Staying here could bring a bad environment of
“Concentration” issues that would take the focus away from the main
purpose of Brazil.
I apologise to my colleagues, for putting myself in this situation but I’m sure this was an important learning curve in my career.
No comments:
Post a Comment