Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Bruce Jenner (sasa hivi Catlyn) alikuwa mcheza gofu grade one Marekani aliekuwa na pointi za juu katika mchezo huo.
Taarifa zinaeleza kwamba itamlazimu Catlyn, kuanza upya kutafuta alama za juu kwenye mchezo huu kwa kuwa chama cha gofu nchini humo, kinamtambua Bruce na si Catlyn kama anavyotambuliwa hivi sasa.
Catlyn juzi alivunja rekodi iliyowekwa na Rais wa Marekani, Barack Obama kwenye twitter kwa kupata zaidi ya “followers” milioni 1 kwa saa nne
No comments:
Post a Comment