Madam
Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii
huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake
limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua
meneja wake nakufanyia mchakato wa video ya Olitemba South Afrika.Madam
Wema juzi juzi tulisikia kaolewa leo tena kasfa nzito ya kuiba bwana wa
wawatu.Linah na jamaa huyo wamedumu miaka zaidi ya minne.
No comments:
Post a Comment