11 May 2015

WEMA SEPETU NA ALIYEKUWA MUME WA ZARI WAPANGA KUWAUMIZA DIAMOND NA ZARI KWA KUPITIA KWA ALI KIBA


Week end hii iliyopita Wema Sepetu na Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan wamekuwa busy sana kumspoti Ali Kiba na Kumpromote kwenye page zao za Instagram kitu ambacho si cha kawaida na kimechukuliwa kuwa wawili hao wamepanga kufanya hivyo kumuumiza Diamond na Zari ...Wengi wamehoji iweje Mganda Huyo aliyekuwa mume wa Zari ghafla tu aanze kushabikia Bongo Flava na huku Wema nae Akiwa Busy kuposti Promotion za Kuwaambia watu wampigie kura Ali Kiba asimu wa Diamond?...Je Wameambizana? Je nini Kina endelea Kati yao Kwa Siri??

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname