Picha
ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa
wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa
nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua
minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha
hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt
na Wema Sepetu. Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment