31 May 2015

ANGALIA PICHA ISTAGRAM PARTY ILIVYOFUNIKA JANA,NI BALAA

 Wingi wa watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii unafanya baadhi ya vitu kuwezekana kirahisi ikiwemo hizi party ambazo zinawahusu zaidi watumiaji wa huduma husika.
Naambiwa kuwa kwa sasa Tanzaniana nayo ipo kwenye list ya kuwa na watumiaji wengi wa Instagram kutoka nchi za Afrika Mashariki,Mei 30 watumiaji wa Instagram walikutanishwa na party ya pamoja.
Mzee Majuto,Ben Pol,Shetta,Stan Bakora,Izzo B,Mirror,Wema Sepetu,Petit Man,B dozen na Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm walikua ni miongoni mwa mastaa waliokuwepo viwanja vya Posta vilivyopo Sayansi Dar es salam. 


 
 



  BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZOTE ZA SHOW HIYO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname