Pale Awilo Longomba anapofanya video na P Square,Tazama matokeo yake hapa.
Collabo nyingine ya kimataifa DRC amekutana na Wanigeria, Ni msanii
Awilo Longomba amefanya wimbo wa na wasanii wa kundi la P Square ‘Enemy
Solo’ .Hii ndio video ya wimbo huo
Nipe mtazamo wako hapo chini ukiweza
No comments:
Post a Comment