31 May 2015

WOLPER AMPONGEZA AUNT EZEKEL KWA KUWAKACHA MATAJIRI NA KUFUATA KIUNO CHA IYOBO

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amefunguka na kumpogeza staa mwenzake Aunt Ezekiel ambaye amezaa na mcheza dansi, Moses Iyobo kwa kuamua kuwaacha matariji na kuamua kuzaa na mcheza dansi huyo.Penzi la Aunt Ezekiel na Moses Iyobo limekuwa likitazamwa
kwamitazamo tofauti tofauti hasa miongoni mwa mashabiki huko mitandaoni, Wolper amevunja ukimya na kuanddika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu. 
BONYEZA INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname