09 January 2015
SINTA ACHAFUA HALI YA HEWA.AMCHANA SHABIKI WAKE
Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?
Narudia tena mie ni blogger n aweka kila jambo linalo husu mastaa, na huyo Zari mie nimemjua leo?? angalia calender yako vizuri labda unatumia za Ethiopia kuwa updated isitoshe labda wewe ndio unamuona zari ni malkia wako to me ni kawaida sana coz she is bin a friend ever since sio yeye tu familia yake nzima
halafu siwezi kumchagulia mtu maisha yeye kama anaamua kuwa Dimondo awe shemeji yangu kila la kheri kama ni Ivan sawaa yeye ndio anajua yupi mzuri kwake mimi sivai viatu vyake kujua maumivu gani anayapata .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment