Hata Kundi la Wanaume TMK aka ‘wazee wa mapanga shaaa’ lilijichukulia umaarufu mkubwa enzi likiwa na members wote waliolianzisha. hivyo kundi hilo lilikuja kuvunjika na kuzaliwa makundi mawili, Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature na TMK Wanaume Family ambalo lipo chini ya Said Fela likiwa na wakali kama Chege na Mheshimiwa Temba. Na sasa imebainika kuwa ni mwanamke ndiye aliyewakosanisha jamaa hao. “Tatizo wote tulivurungwa na ujana mwisho wa siku tukatoa chance kwa watu na wamechukua nafasi,” Fela aliiambia Bongo5. SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment