05 November 2014

NGWEA FEKI AGOMBEA MAITI YA MAMA’KE!

Kijana Mohamed Said almaarufu Ngwea feki.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilijiri kwenye makazi ya familia hiyo, Tandale, Dar hivi karibuni ambapo mama huyo alifariki dunia kwa kuugua kwa muda mrefu.Kijana Mohamed Said almaarufu Ngwea feki, anayefananishwa na aliyekuwa staa wa Bongo Fleva, marehemu Alberth Mangweha ‘Ngwea’, ameingia katika mzozo mkali na ndugu zake akidaiwa kugombea maiti ya mama yake mzazi, Mariamu Enock (54). 

Ngwea feki akizozana eneo la msiba.ANGALIA PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname