30 November 2014

MANENO MAZITO YA DAVIDO KUHUSU USHINDI WA DIAMOND


Ushindi wa tuzo tatu za Channel O 2014 alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz umekua mkubwa sio tu kwa Tanzania bali Afrika na kona zake ambapo miongoni mwa walioandika baada ya Diamond kushinda ni Davido.

Msanii huyu wa Nigeria ambae alifanya remix ya number one ya Diamond aliandika kwenye page yake ya instagram >>> TANZANIA STAND UP! HE DID IT na kisha akammention Diamond Platnumz. BOFYA HAPA KUYASOMA>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname