30 November 2014

WATOTO WA RAIS OBAMA NDANI YA SKENDO CHAFU YA MAVAZI YA KIHASARA!


Rais Barrack Obama na wanawe Sasha na Malia. Afisa mmoja wa chama cha Republican amewakosoa mavazi yao.Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama, Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima na afisa mmoja wa chama cha Republican baada ya kuhudhuria sherehe za kutoa shukrani.
Elizabeth Lauten ,ambaye ni mkurugenzi wa mawasiliano wa mbunge Stephen Fincher alitoa matamshi yake katika mtandao wa facebook ambayo baadaye yalifutwa.
Baada ya kukosolewa Bi Lauten aliomba msamaha kwa kutoa matamshi hayo ya kukera.

Aliku akikosoa sketi fupi zilizovaliwa na wasichana hao wa Obama.Bi Lauteni pia aliwashtumu wasichana hao kwa kuonyesha uchovu wakati waliposimama na baba yao katika sherehe hiyo ya ikulu ya Whitehouse. SOMA ZAIDI>>>

1 comment:

  1. Many individuals even have to be able to try to find the particular tote merchandise from other favored fake rolex in another country only for doing their particular tote assortment. Not merely on one occasion studying, yet it is strongly recommended that you need to examine omega replica sale more than once to help keep oneself reminded in regards to the expertise you ought to have got inside learning to be a fantastic head. Once you examine repeatedly the text are certain to get instilled mentally and you may stick to these together with louis vuitton replica bags attention to gain success within your quest toward leadership. You can find leadership guides and in addition these kinds of guides are available on the web right from the particular ease and comfort of your property at the same time. When you have any layout wish to make, let us know and also we could offer you a hublot replica sale. Typically, mom and dad are usually advised to be able to instill the particular practice regarding studying, inside the heads regarding small children.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname