Mama wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa. Akifunguka mbele ya kinasa sauti cha Risasi Jumamosi, mama Kanumba alisema pengo la mwanaye katika sanaa linaonekana wazi hivyo ni vyema kwa anayetaka kuliziba kufuata nyayo zake.
”Miongoni mwa siri kubwa za mafanikio kwa mwanangu zilizomfanya awike kuliko wengine ni kupenda kuthubutu, kusali sana na kutokuwa na wivu wa maendeleo kwa kujiepusha na majungu.
No comments:
Post a Comment