05 November 2014

MADUDU YA KINA MISS TZ SITTI MKIENDELEA KUYAFUMBIA MACHO TUTEGEMEE AIBU ZAIDI KWENU RITA!

Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), bila shaka mko vizuri mnaendelea kusimamia jukumu zito katika taifa letu.Usajili, Ufilisi na Udhamini siyo kazi ndogo. Ni kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu maana matokeo ya ufanisi wenu ndiyo majibu ya shughuli nyingi katika nchi.
Watu wakitaka kusafiri, kutambulika katika maeneo mbalimbali nyinyi lazima mhusike kutatua.
Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimewakumbuka leo kupitia barua hii ili niweze kuwafikishia yaliyoko katika akili yangu ndogo. 

Madhumuni ya barua hii kwanza kabisa ni kutaka kuwauliza, hivi mmewahi kuwaza kwamba kuna uwezekano mkubwa wa watu kufanya madudu ya kufoji vyeti kama anavyodaiwa kufanya mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu?Kwa kuanzia eneo hilo, ni vyema basi chombo chenu kikafanya tathmini upya katika kuhakiki taarifa mbalimbali na kuweka mfumo mzuri wa kudhibiti mtu kufanya udanganyifu wa aina yoyote. Msisubiri hadi yatokee ya kutokea ndiyo muanze kuchukua hatua.SOMA ZAIDI>>>

1 comment:

  1. More or less everything and even more is usually what exactly wristwatches include to be a pretty pleased heritage. Important inventions hublot replica sale in this particular subject can be accounted intended for by means of not many massive corporations, even so the credit ratings goes toward each of the minds driving this progress connected with ever-refined wristwatches that any of us are able to view at this time. Wristwatch gurus rolex replica sale establish prices by means of thinking of the many central in addition to additional different parts of this check out in addition to the trade disorders in addition to movements. Things chanel le boy replica of which establish on-line of any wristwatch: The software creator on the wrist watch is usually one in every of this variables of which establish importance on the check out. The favourite in addition to wanted hublot replica uk wristwatch on this planet is usually just one by means of Patek Philippe connected with Geneva, Europe, having all the other factors currently being similar; that is certainly: event model, precious metal, attributes, form, for example. Different iwc replica significant companies, but is not specifically from the obtain in their magnitude, undoubtedly are a. Lange & Sohne, Audemars Piguet, Baume & Mercier, Blancpain, Breguet, Breitling, Bvlgari, Cartier, Chopard, Concord, Chronoswiss, Corum, Ebel, P oker. V. Journe, People from france Muller, Gerald Genta, Girard-Perregaux, Glashutte, Hublot, Jaeger-LeCoultre, Omega, Panerai, Parmigiani, Piaget, Roger Dubuis, Rolex, Ulysse Nardin, Vacheron & Constantin in addition to replica watches uk Zenith.



    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname