01 November 2014

KIBAKA ANAYEDAIWA KUIBA BODABODA ADAKWA

 Kibaka huyo akiomba msamaha baa

da ya kupokea kichapo kutoka kwa kundi la wananchi waliofulika kwenye ukumbi huo.
Kijana mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka  amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kibaka huyo kukamatwa nakijaribu kuiba boda boda
.
 Mabausa wa ukumbi huo wakimtoa nje kibaka akiwa na Pingu mkononi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname