04 November 2014

KAMANDA KOVA AHUSISHWA NA FREEMASON!


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) “Wananchi wanatakiwa kuwa makini na hawa watu ni hatari sana,wamekuwa wakitoa namba zao za simu na kuwatangazia wananchi wanaotaka kujiunga nao ili wawe matajiri wapige namba walizotoa ili wajiunge baada ya kutoa fedha, nashangaa hata mimi watu wameshawahi kuniita Freemason wakati siyo kweli,” alisema Kamanda Kova. 
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova, wiki iliyopita alifunguka kuwa, kuna watu wamekuwa wakimhusisha na imani ya Freemasona.CHANZO CPL

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname