HUZUNII.KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA Kila mwenye pumzi akumbuke kuna Mungu..HEBU TAZAMA HUYU MTOTO
Kila
mwenye pumzi akumbuke kuna Mungu unatakiwa kuomba bila kukoma..... Hii
picha inamwonyesha Gao Qianbo mwenye
umri wa miaka 3 akimlisha mama yake
kwa mdomo anatafuna chakula na kumlisha. Mama yake hana uwezo kabisa
mwili wake ku paralyse katika ajali ya gari.....
Tumwombe Mungu kila iitwapo leo
No comments:
Post a Comment