HAKIKA DAR KAMA ULAYA SASA...HEBU CHEKI TASWIRA YA JIJI LA DAR KWA PICHA ILIVYO SASA
Magari yakipita chini ya daraja la watembea kwa miguu eneo la Kimara,
Dar es Salaam, lililojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Strabag eneo la
Kimara katika mradi wa ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo Kasi Dar es
Salaam
No comments:
Post a Comment