10 November 2014

ANGALIA BABA DIAMOND AMSAKA WEMA

Baada ya Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ kummwaga mwanaye, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baba mzazi wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘Baba Diamond’, amenaswa akimsaka mrembo huyo ili kujua mbichi na mbivu.
Baba mzazi wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akigonga getini kwa Wema.
‘UBUYU’ KUTOKA KWA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, baada ya kusikia habari za mwanaye kumwagwa na Wema aliumia roho kwani anamkubali Wema kuliko warembo wengine wote ambao walishatembea na mwanaye huyo.

“Hakuna habari mbaya kwa baba Diamond katika kipindi hiki kama ishu ya Wema kumwaga.
MAUMIVU
“Unaambiwa ‘mdingi’ aliumia sana kwani huwa anampenda mkwe wake Wema.
“Baba Diamond anaamini kabisa kwamba Wema ana nyota ndiyo maana Diamond akiwa naye huwa anang’ara sana,” kilisema chanzo hicho na kuongeza

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname