24 October 2014

WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA



KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.


Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man.

 
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.
Chanzo kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit.BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname