Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha alisema, hofu yake hiyo inatokana na namna mwanaume huyo anavyotapanya pesa huku akitangaza dau kubwa ili kuwapata mastaa wa kike.
Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha amesema ana wasiwasi na afya ya mwanaume Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper.SOMA ZAIDI>>

No comments:
Post a Comment