23 October 2014

UNAAMBIWA HAYA NDIYO MAKOSA AMBAYO DIAMOND ALIYOWATENDEA WA-TZ MPAKA AKAZOMEWA FIESTA


Written by @bikira_wa_kisukuma 
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA: 
1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE...Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania..Hakupaswa kuwa na bidii hivi..Angekuwa tu wa KAWAIDA kama wenzake waliopita ili AFULIE awaachie na wengine waje kwenye chati arudi Tandale kuuza Wali
..

2.Kosa la 2 ni KUJITAMBUA YEYE NI NANI..Kwanini ajitambue wakati wenzie wenye majina walishindwa??Kwani yeye nani awe tofauti??Hii ni DHARAU KUBWA sana kwa Watanzania na Wanamuziki wenzie na inaonyesha ana KIBURI..Diamond kujua yeye ni Mwanamuziki mahiri na kutumia VALUE yake aliyoipata kwa mbinde kuiletea sifa Tanzania nje ya Mipaka ni KOSA KUBWA!SOMA ZAIDI>>>

1 comment:

Comments system

Disqus Shortname