Jumanne asubuhi, Wiz Khalifa alimtumia Amber Rose ujumbe wa kumtakia heri katika siku yake ya kuzaliwa kupitia Twitter.
“Happy Birthday Amb,” alitweet Wiz Khalifa, ujumbe uliopokelewa vizuri kwa shukurani na Amber Rose.
“Thank u Sweetheart #IstillLoveYouNoMatterWhat.” Alitweet Amber Rose.
Mwanamitindo huyo ambaye alikuwa anatumiza miaka 31 alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na marafiki zake.
Hivi karibuni Wiz Khalifa amekuwa akionekana na wasichana warembo tofauti katika maeneo ya Las Vegas na Hollywood
No comments:
Post a Comment