23 October 2014

MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA

 Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto.Staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ akiwa na mwandani wake, DJ Hunter.

Kudhihirisha hilo, chanzo chetu kimevujisha picha za mrembo huyo akiwa na mchumba wake anayefahamika kwa jina moja la DJ Hunter wakiwa katika malovee mazito kwa kupigana mabusu.

“Yani Snura sasa hivi muziki ameuweka pembeni anatumikia mahabati mwanzo mwisho,” kilidokeza chanzo chetu.BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname