Kama unamfuata Wema Sepetu kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii sina shaka uliona picha akiwa nje ya nchi hivi karibuni na timu yake, hayo yote yalikuwa ni maandalizi ya msimu wa pili wa reality show yake ya Tv ‘In My Shoes’.
Wema amesema msimu mpya utakuwa na maboresho mengi na surprises nyingi.“Sasa hivi tumekuja kwa kasi flani hivi, wanasema mwanzo ni mgumu na season ya kwanza kiukweli ilikuwa ngumu lakini kuna mengi ambayo tumejifunza, kuna mabadiliko mengi, kwahiyo ni kama ime advance”. Wema ameiambia Power Jams ya EA Radio.
SOMA ZAIDI>>>
SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment