Yule
Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la
Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na
kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini
wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angali
Picha Hapo Juu
No comments:
Post a Comment