31 October 2014

LADY JAY DEE AJA KIVINGINE

Lady Jaydee hajabadilisha jina la lounge yake kutoka Nyumbani Lounge hadi MOG peke yake. Machozi Band kwa sasa nayo itakuwa ikijulikana kama ‘Lady Jaydee and the Band!’“Tumeondoa kulia,” Lady Jaydee amekiambia kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio.

Katika hatua nyingine Jaydee amezungumzia wimbo wake mpya ‘Forever’ aliomshirikisha mdogo wake Dabo. Wimbo huo umetayarishwa na Man Walter wa Combination Sound.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname