23 October 2014

JE WAJUA KUA NEY NDO CHANZO CHA DIAMOND KUHAIRISHA KUMUOA WEMA??? SOMA CHANZO HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqbsUhbsbuN3tkIQEXCfi6KXU-UcG3nKHByO1CaNOqqsZnuIUfcdedpZfkcpz1t3ONo5GCSCve6RTQvgY0MMH3DzP3FTRi12jY51Il2LsmYg7k-gEveya7Mqk5M3f6GxpDPGe8lb3ienGV/s1600/4X7A9552.JPG IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’
asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’
Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye
amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo
wake wa Mdogomdogo.
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake ‘Diamond Platinum’.
Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano
mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao
wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka
kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri
aache.”
CREDIT : GPL

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname