21 October 2014

BREAKING NWZZZZ :MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014.

Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi zitatolewa baadae.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname