02 October 2014

BETHIDEI YA WASTARA TAMU, CHUNGU...SHUKA NAYO HAPA!

Shabiki akimpongeza Wastara kwa kumbeba mgongoni.
ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma imegeuka kuwa maumivu baada ya kumkumbuka aliyekuwa mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ukumbini.Sherehe hiyo ya kuzaliwa ya nyota huyo ilifanyika wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wenzake wa filamu. 
Wastara ambaye alionekana kama bibi harusi jinsi alivyopendeza, baada ya burudani ya muziki kupita, watu wote walisimama na kuomba dua kwa ajili ya marehemu wote akiwemo Sajuki, ndipo Wastara alipoingiwa na huzuni kubwa hukumachozi yakimlengalenga baada ya kusikia jina hilo la marehemu mumewe.Wastara akisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na msanii mwenzake Stanley Msungu. SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname