Hali
ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais
kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya
Unguja. Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji
hicho cha Baitrais kwani kilikuwa barabarani ukielekea Bububu.
Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa ni shoti ya umeme
No comments:
Post a Comment