
Kupitia account ya wasafi instagram,wamepost picha zikiwaonyesha Diamond na wema wakiwa ndani ya Boat kwenye ziwa victoria lililoko jijin Mwanza,bila shaka ilikuwa kurefresh mind baada ya show ya fiesta waliyofanya juzi,picha zingine zinamwonesha Diamond akiride Boat.

No comments:
Post a Comment