Tukio hilo lilowastaajabisha wengi lilijiri wikiendi iliyopita katika Mgahawa wa Great Wall uliopo Masaki, Dar ambapo asilimia kubwa ya waalikwa katika hafla hiyo walisema hakikustaili hasa kwenye mwezi huu wa toba.
“Unajua
siku zote tunaambiwa sisi Bongo Movie hatuna heshima, siyo kweli, kuna
watu wapo kwa ajili ya kutudhalilisha. Angalia Wolper alichovaa,”
alisema mwigizaji mmoja ambaye hakutaka jina liandikwe gazetini.
Alipoulizwa Wolper kuhusiana na madai hayo ya udhalilishaji, alijibu:“Achana nao hao ni wanafiki tu kwani kuna mtu amekatazwa kuvaa kama hivi?”

No comments:
Post a Comment