Kinywaji
cha coca cola kimeendelea kuwa maarufu duniani lakini utafiti mpya
umeonyesha kuwepo uhusiano wa kunywa sana kinywaji hicho na matatizo ya
uzazi kwa wanaume.
Kwa
mjimu wa utafiti huo uliochapichwa kwenye Jarida la Epidemiology la
Marekani, wanaume wanaokunywa zaidi ya lita moja ya coca cola kwa siku
wanakabiliwa na hatari ya kuwa tasa. SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment