17 April 2014

ONA HARUSI YA KWANZA KUFUNGWA NA WASHIRIKI WOTE WAKIWA WATUPU WA MNAYAMA




Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa
ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharama

nyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo.


Na wasimamizi wao nao mtindo ule ule!


kweli dunia it's about to end maana hivi sio vya kawaida hata kidogo...

1 comment:

Comments system

Disqus Shortname