18 April 2014

HIZI NDO NGUO ALIZO INGIZA MWANA DADA JOKATE ..TAZAMA PICHA


Gal on hit baby jokate kidoti, amewasuprise watu kwa kuvaa nguo yenye muonekano wa jeans, ambayo
stylish yake ni kama imechanwa katika maeneo yake ya mapaja, but hiyo ni fashion ambayo ndo inatamba africa coz staaz wengi washaonekana wakivaa kama hivyo akiwemo
Wolper under new fashion ya kupasuliwa na mchaniko wa jeans

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname