Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka kwenye bandari ya Incheon kwenda kwenye kisiwa cha Jeju.Watu watatu wamesharipotiwa kufariki licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na 13 wametolewa kama majeruhi huku uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii inawekwa shughuli za uokoaji zinaendelea na watu wengi wanaokolewa kupitia madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa hakijajulikana.
Terrifying: The South Korean ferry dangerously listed to one side while on its way to Jeju island about 100km south of the Korean peninsula
No comments:
Post a Comment