Baba
aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54)
anusurika kifo baada ya fumanizi Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu
maeneo ya Tuangoma Mjimwema, Kigamboni jijini DarBaba
aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54), nusu
auawe na raia wenye hasira kali, msimu wa Pasaka kisa kikiwa ni kuachiwa
kwa dhamana isiyoeleweka baada ya kunaswa kwa kosa la ulawiti wa
madenti.
Tukio
hilo la kutisha lilijiri Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu maeneo ya
Tuangoma-Mjimwema, Kigamboni jijini Dar, mbele ya ofisi ya serikali ya
mtaa huo ambapo awali, Aprili 9, mwaka huu ilidaiwa kuwa mzee huyo
alidakwa na mmoja wa wazazi wa wanafunzi hao akiwa amemfungia kwa kufuli
mwanaye ndani ya chumba chake huku mwenyewe akiwa katika shughuli zake
za kuuza kuni. |
No comments:
Post a Comment