07 March 2014

Frank Temba Photographer

Anaitwa Frank Temba 
ni professional  Photographer  wa  kujitembea  na  amekuwa  mpiga  picha maarufu Jini  dare s salaam na TANZANIA kwa  ujumla  kazi  zake  zikiwavutia  wengi  sana  na Kuendelea  Kupata

Oda ya kupiga picha event mbalimbali Kama  CCBRT,BNN CONVETION HALL,MOKKA CITY,
 na wasanii wakubwa nchini wa standup Comedy mfano Wa eric Omondi na Mc pilipili ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 19 na kazi zake zikiendelea  kushangaza  watu  kama mpiga picha wa kujitegemea na pia vilevile ana vipaji mbalimbali kama Video Music Director,Creative Desgner ,System Admistration,blogger akiwa kama admin kwenye website zifuatazo www.mcpilipili.com www.thechoice.com moja ya website kubwa Tanzania Anajivunia kuwa Photographer  historia part2 Coming soon

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname