09 March 2014

ATUPWA MIAKA 10 JELA KWA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WAKATI WANAMTOA MIMBA

DSC07094

Aliyekuwa tabibu msaidizi wa Dispensari ya Tumaini mjini Singida, (wa mbele) Godlisten Raymond (37) na mfanyabiashara wa mbuzi na biashara ya kusaga nafaka (wa tatu mbele) Adamu Shaban Hole (46) mkazi wa kijiji cha Kitandaa tarafa ya Sepuka wilaya ya Ikungi,wakisindikizwa na askari polisi kwenda gerezani kuanza kutumikia adhabu ya kila mmoja kifungo cha miaka 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtoa mimba mwanafunzi na kusababisha kifo chake.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname