15 March 2014

ANGALIA PICHA ZA AJALI YA BASI LA JAPANESE WILAYANI MAKETE NJOMBE

 Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe, zaidi tazama picha zifuatazo hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname