21 January 2014

UKUBALI AMA UKATAE..HAKIKA BILA HAWA WATU WATATU.. CLOUDS FM LAZIMA ITAPOTEZA MASHABIKI WAKE....HAWA WATU NI SHIDAAAA


clouds
Hatimaye watangazaji wa Clouds FM, B12, Adam Mchomvu na DJ Fetty wamerejea tena hewani baada ya kuwa kimya kwa wiki kadhaa kutokana na tetesi kuwa walikuwa wamesimamishwa kazi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname