
Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi.
Carlos Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki, Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel




Stori na picha vimetoka shaffihdauda.com
No comments:
Post a Comment