06 January 2014

KAA MKAO WA KULA SASA MUDA WOWOTE LEO DIAMOND PLATNUMZ ATAACHIA VIDEO YA MY NO 1 REMIX ALIYOIFANYA NA DAVIDO




Leo Nimekutana Na Post Hii Katika Page ya Facebook ya Diamond Platnumz @DiamondPlatnumz255 akiweka wazi kwamba Leo Jan 6 ataachia Kichupa
chake Cha #MyNo1 Remix alichofanya na Mwanamuziki kutoka Nigeria anayetambulika kama DAVIDO.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname