BREAKING NEWZZZ....JESHI LA POLISI LAWATAWANYA WAFUASI WA ZITO NA WAFUASI WA CHADEMA WALIO TAKA KUPIGANA
Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu
wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu
kuhairisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama
chake.
No comments:
Post a Comment