25 January 2014

DIAMOND PLATNUMZ AZID KUITEKA KENYA NA KUWA GUMZO SANA JANA KATIKA JIJI LA NAIROBI


 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza






 Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri




 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazeti



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname