06 January 2014

ANGALIA PICHA YA MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO KISA MAPENZI

Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake.




Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa ni hawara yake.Tukio hilo lilitokea Desemba 16, mwaka jana ambapo mwanamke huyo alidai kuwa alikuwa akizungumza kwa simu na mfanyakazi mwenzake ambaye anauza naye chakula maeneo ya Mlango Mmoja jijini hapa kabla ya mumewe kumvamia na kumpiga.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname