14 December 2013

LULU, YOUNG D WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI USIKU WA MANANE

Elizabeth Michael 'LULU'.
Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu mwanadada wa bongomovies  na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D ' Young Dar es salaam' kama mwenyewe anavyojiita ya wawili hao kukutwa kwenye gari wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya mdada na mkaka kufunga ndoa.TIRIRIKA ZAIDI

2 comments:

  1. movie bongo nikutafuta ustar kijinga mana hawa waigizaji wetu wengi hawana uweledi na kazi wanayofanya nikimanisha kama unapenda ki2 fanya ki2 si kufanya upumbavu sanaa ni ala ama si kama itasikika 2 kwenye masikio ya vijana bali hata watoto tusiringie uzuri 2lionao katika sanaa turingie kile 2nachofanya na kuonekana machoni mwa wa2 jamani hapo ndipo 2tajenga sanaa

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname